Mike Sonko atakiwa kufika mbele ya tume ya EACC

KTN News Nov 05,2019


View More on Leo Mashinani

Mike Sonko Atarajiwa Kufika EACC Ili Kuandikisha Taarifa Ama Kujibu Maswali Kuhusiana Na Fomu Aliojaza Wakati Alikuwa Akisaka Kuidhinishwa Na EACC Kuwa Gavana Wa Nairobi