.
8th October, 2019
Makanisa ya kiinjilisti kaunti ya Kiambu wanataka mchakato wa marekebisho wa katiba unayoendelea kujumuisha wizara ya dini katika serikali ili kudhibiti utendakazi wa makanisa nchini.