.
8th October, 2019
Maafisa kutoka Wizara ya Kilimo kwa sasa wana andaa kikao na wawakilishi wakulima wa Pareto, Samaki na Maziwa. Mkutano huo unakuja wakati ambapo sekta ya Pareto inashuhudia mawimbi.