Wanahabari watatu wavamiwa na wanafunzi katika kaunti ya Machakos

KTN News Jun 03,2019


View More on KTN Mbiu

Wanahabari watatu wafumaniwa katika kaunti ya Machakos. Inadaiwa kuwa kisa hicho kilichochewa na mwalimu mkuu wa shule ya upili ya St Stephen's Girls.