Fredrick Otieno kutoka Voi amechukua nafasi ya kutengeneza radio | BONGO LA BIASHARA

KTN News Apr 23,2019


View More on KTN Leo

Radio ni kifaa cha mawasiliano tangu jadi na ijapo mambo yamebadilika kwa ujio wa teknolojia mpya,kunao ambao bado wamezikumbatia radio zao na zinapoharibika hawana budi kuzikarabati. Fredrick Otieno kutoka Voi amechukua nafasi hiyo kujitafutia posho kwa kuwa fundi wa radio tangu utotoni na anatupambia makala yetu ya bongo la biashara.