Kikosi cha Wanariadha wanaoishi na ulemavu kucheza Morocco

KTN News Apr 16,2019


View More on Sports

Kikosi cha wanariadha wanaoishi na ulemavu kinapojiandaa kuelekea Morocco kushiriki mashindano ya kufuzu kushiriki olimpiki ya wanaoishi na ulemavu mwaka ujao, serikali ya Morocco kupitia ubalozi wao nchini, umeipa kikosi hicho ufadhili kama njia moja wapo ya kuimarisha uhusiano wema kati yao na kenya. Kikosi hicho kitaondoka nchini siku ya jumamosi alhasiri kuelekea Morocco kwa mashindano hayo.