Mamake mshukiwa wa mauwaji ya Ivy Wangechi azungumza

KTN News Apr 10,2019


View More on KTN Leo

 

Kifo cha Ivy Wangechi msichana aliyekuwa anasomea udaktari katika chuo kikuu cha Moi kiliibua maswali mengi haswa kwa namna ambayo anayedaiwa kumuua, Naphtali Kinuthia alivyoitekeleza, kwa njia ya shoka wengi wakitaka kujua ni nini kinachosababisha kijana huyo kumuua mwenzake.