Wanasiasa wanaomuunga William Ruto mkono washtumu Rais Uhuru

KTN News Mar 30,2019


View More on KTN Leo

Joto la kiasiasa linaendelea kutokota baina ya chama cha Jubilee na chama cha ODM huku wanajubilee wanaomuunga mkono Naibu wa Rais wakionya wana ODM kuhusu nia yao ya kusambaratisha Jubilee wakiapa watafanya kila wawezacho kuhimili vishindo vya salamu za kheri.