19th March, 2019
Utalii unaoambatana na michezo mara si moja umekuwaa kichocheo kikubwa cha uchumi wa Kaunti za Elgeyo M araket, Nandi na Uasin Gishu, lakini kadri siku zinavyozidi kusonga utalii huo unaelekea kuangamia kufuatia hali mbaya ya nyuga za michezo kaunti husika.