Michael Olunga atakusa mchuano dhidi ya timu ya Ghana
19th March, 2019
Licha ya kukosa huduma za mshambulizi Michael Olunga ambaye anauguza jeraha, mkufunzi wa timu ya taifa Harambee Stars Sebastian Migne ana imani kwamba kikosi chake kitaandikisha matokeo mazuri dhidi ya ghana siku ya jumamosi.