Wakenya wakasirishwa na repoti za baa la njaa katika Kaunti ya Turkana na Baringo | Jukwaa la KTN
19th March, 2019
Watu wanne wamefariki katika eneo la Turkana kusini, hali imeendelea kuwa tete katika kaunti ya Turkana huku wadau wanaohusika wakionekana kunyosheana vidole vya lawama.