.
13th March, 2019
Ukulima wa strawberry Kenya:
Katika kipindi cha Fresh and Fruity, tunakueleza jinsi ya kukuza matunda ya strawberry ili kuwa na mazao bora ambayo yatakuwezesha kupata soko la uhakika, bila vipingamizi.