Timu ya taifa ya soka Harambee stars imepata ufadhili ya Kshs. 20 Milion kutoka Betin

KTN News Mar 12,2019


View More on Sports

Timu ya taifa ya soka Harambee stars imenufaika pakubwa baada ya kupata ufadhili wa shilingi milioni 20 kutoka kwa kampuni ya mchezo wa bahati nasibu ya Betin. Rais wa shirikisho la soka nchini Nick Mwendwa amesema kwamba pesa hizo  zitatumika katika maandalizi ya timu hiyo kwenye dimba la soka barani Afrika.