.
5th March, 2019
Kutana na Bwana mmoja katika Kaunti ya Uasin Gishu ambaye amegeuza nyumba yake kuwa karakana ya kuchorea viongozi wa nchi. Alex kibet mutai ametangamana na mabwana wakubwa wa nchi kutokana na sanaa yake ambayo ni kioo cha jamii.