×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mchezajia wa Bandari Abdala Hassan ndiye mchezaji bora wa mwezi wa Januari

26th February, 2019

Winga wa klabu cha Bandari Abdala Hassan ameteuliwa kama mchezaji bora wa ligi ya sportpesa mwezi wa Januari kwenye tuzo ya sjak. Abdalla, amepewa tuzo hiyo baada ya kuipatia bandari ushindi katika mechi tatu na kuwasaidia kupanda hadi nafasi ya kwanza kwenye jedwali la ligi.

.
RELATED VIDEOS