23rd February, 2019
Bao la pekee la Felly Mulumba limeisadia timu ya Bandari FC kusalia kileleni mwa ligi kuu ya sport pesa ikiwa na alama 31 baada ya kuirarua nzoia sugar moja bila jibu.kwenye mechi nyingine hii leo,chemelil imelazimishwa sare ya 1?1 dhidi ya kcb, kakamega homeboyz wakapiga sare ya 2?2 na sofapaka nayo ulinzi aidha ikatoka sare ya 1?1 na posta rangers.