19th February, 2019
Shindano la mchezo wa gofu la Kenya open la kila mwaka linatarajiwa kuboreka mwaka huu.hii ni baada ya benki ya barclays kutoa udhamini wa shilingi milioni 220 zitakazotumika kuandaa mashindano hayo kwa miaka 2. Shindano hilo litaanza tarehe 14 hadi 17 mwezi machi.