19th February, 2019
Timu ya Western Stima imepunguziwa alama 3 na kamati ya shirikisho la soka nchini kenya baada ya kumchezesha mchezaji kinyume na sheria za fifa katika mechi yao dhidi ya tusker. Tusker iliwasilisha malalamishi baada ya w, stima kumchezesha kevin okoth waliowauzia kwa mkopo.isitoshe tusker wamepewa wao alama tatu na ushindi wa mabao 2?0.