19th February, 2019
Jumla ya wachezaji 17 kati ya wachezaji 25 waliopata mwaliko wa kujiunga na timu ya taifa ya soka harambee stars walifanya mazoezi yao ya kwanza huku wakijipiga msasa kabla ya kushiriki mashindano ya taifa bingwa afrika (CHAN) na dimba la soka barani afrika (AFCON).