×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Peter Terer alitwaa taji kuu la mchezo wa Standard Golf Action

18th February, 2019

Peter Terer alitwaa taji kuu la mchezo wa Golf uloandaliwa katika mji wa Eldoret kaunti ya uasin gishu. Michuano hii iliandaliwa katika uwanja wa golf wa under par 71 ya klabu cha eldoret. Na baada ya kupanda juani ilikuwa zamu ya kuvuna kivulini huku shamrashamra za jana zikiwaleta viongozi na wafanyibiashara halikadhalika wafadhili wakuu ambao ni kampuni ya standard group.sherehe ya kutunuku walioshamiri jana iliongozwa na afisa mkuu mtendaji wa standard group orlando lyomu na magavana jackson mandagor wa uasin gishu na mwenzake wa elgeyo marakwet alex tolgos. Mandagor ameomba wafanyibiashara kuekeza mashinani.

.
RELATED VIDEOS