Katibu mkuu wa Vyama vya Wafanyikazi Francis Atwoli ataka serikali kupanuliwa

KTN News Feb 16,2019


View More on KTN Leo

Katibu mkuu wa Vyama vya Wafanyikazi nchini Francis Atwoli amesistiza kuwa pana haja ya kufanya marekebisho ya katiba ili kuipanua serikali na kutosheleza jamii zote nchini. Atwoli ambaye alikuwa huko busia na viongozi katika hafla ya mchango alisema kuwa katiba mpya itakuwa na manufaa kwa wakenya wote.