×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mgomo wa wauguzi waingia siku ya 12, huku wakikaidi amri ya Rais Uhuru

15th February, 2019

Mgomo wa wauguzi waingia siku ya 12, huku wakikaidi amri ya Rais Uhuru

Awamu ya hivi punde zaidi ya mgomo wa wauguzi imeingia siku ya kumi na mbili, wahudumu hao wa afya wakionekana kukaidi tisho la rais Uhuru Kenyatta la kuwatimua kazini. Mgomo huo umeathiri angalau kaunti 11, wauguzi wakidai marupurupu kwa mujibu wa mkataba wa maelewano na serikali wa mwaka 2017.

 

.
RELATED VIDEOS