×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Wajir awasihi wapinzani kuungana naye kufanya maendeleo

15th February, 2019

Gavana wa Wajir awasihi wapinzani kuungana naye kufanya maendeleo

Mahakama ya juu zaidi imebatilisha uamuzi wa mahakama ya rufaa iliyoharamisha ushindi wa gavana Mohamed Abdi katika uchaguzi wa Agosti 8 mwaka 2017. Mpinzani wake Ahmed Abdullahi alielekea mahakamani kupinga ushindi huo kwa madai kuwa stakabadhi zake gavana Abdi hazikuwa halali, aidha baada ya tangazo la leo gavana Abdi aliwarai wapinzani wake kushirikiana naye katika uongozi wa kaunti ya wajir ili kuhakikisha maendeleo yanazingatiwa.

 

.
RELATED VIDEOS