.
12th February, 2019
Majonzi na huzuni ilitanda katika mtaa wa manyani Kaunti ya Nakuru baada ya lori kumgonga na kumuua mwanamke mja mzito. Inadaiwa kuwa lori hilo lilikuwa linafukuzwa na gari la polisi lilipokosa mwelekeo na kugonga kibanda cha mwanamke huyo.