Mashindano ya tenisi ya wachezaji wanaoishi na ulemavu ya Uniglo yameanza

KTN News Feb 11,2019


View More on Sports

Mashindano ya tenisi ya wachezaji wanaoishi na ulemavu ya Uniglo yameanza rasmi hii leo huku wakenya wakianza kwa kishindo.henry caleb odiyo alimshinda wilson mende wa nigeria kwa seti mbili bila za alama 7?6, 7?6, timoi itaken akashindwa kustahimili makali ya samuel alabi wa nigeria , baada ya kulazwa seti mbili kwa moja za 6?4, 4?6, 6?2. Asiya mohamed sururu alipata ushindi wa seti mbili kwa bila za alama 6?0, 6?0 dhidi ya bridget naitey wa ghana.