Mkufunzi wa Harambee Stars Sebastian Migne hajapokea mshahara wa miezi matatu

KTN News Feb 11,2019


View More on Sports

Rais wa shirikisho la soka nchini Nick Mwendwa amethibitisha kwamba Mkufunzi wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Sebastian Migne , bado hajapokea mshahara wa miezi mitatu,ila ameahidi kwamba kocha huyo atapata mshahara wake shirikisho likipokea hela kutoka katika hazina ya michezo  inatarajiwa kuanza mikakati ya kuachilia fedha hizo siku ya jumanne. Nick aliyazungumzia hayo na mengine mengi katika  mahojiano na mwanahabari wetu  robinson okenye, katika kipindi chetu cha michezo cha ktn scoreline siku ya jumapili.