Kamati ya Afya Bungeni imetoa wito kwa washikadau wa afya nchini

KTN News Feb 11,2019


View More on KTN Leo

Kamati ya Afya Bungeni imetoa wito kwa serikali ya kitaifa na serikali ya kaunti kuwapa sikio wauguzi wanaogoma kwa sababu maslahi yao pia na haki yao chini ya sheria. Wakizungumza wakati wanatathmini utendakazi, changamotna ufaafu ndani ya hospitali ya rufaa ya moi mjini eldoret mwenyekiti wao sabina chege alisema kwamba wauguzi vilevile ni wakenya na wana haki ya kupata nyongeza na marupurupu kama ilivyoidhinishwa kwenye mkataba wa CBA.