7th February, 2019
Timu ya chuo kikuu cha strathmore ,viongozi wa ligi ya handiboli upande wa wanaume wanaendelea kunoa makali yao kabla ya mechi yao dhidi ya timu ya nys wikendi hii. Strathmore wanarejea ugani baada ya mapumziko ya krismasi na matumaini ya kushinda mechi tatu zilizo salia na kunyakua taji