Mlinzi wa rasi Mstaafu Moi, Kipkorir Yator aaga dunia

KTN News Feb 07,2019


View More on KTN Leo

Taifa linaomboleza kifo cha marehemu Kipkorir Yator Chomber inspekta wa polisi na pia mlinzi aliyehakikisha kwamba rais mstaafu daniel toroitich arap moi katika enzi ya utawala alipata usalama wa kutosha .Kipkorir ambaye  Alihakikisha mzee moi yuko sawa siku zote amefariki akiwa na mika 87