.
7th February, 2019
UBUNIFU: Bernad kutuka Tanzania aelezea ubunifu wake.Huku watu bilioni tatu duniani wakitegemea mbinu za kitambo za kupata nishati, Bernard kiwia kutoka arusha nchini tanzania amevumbua mbinu ya kukimu mahitaji yake ya kila siku kupitia uvumbuzi wa nyenzo mbalimbali za kumwezesha kuendesha shughuli zake za kila siku