Wafuasi wa Awiti na Oyugi watoa maoni yao kutokana na maamuzi ya Mahaka ya Juu

KTN News Feb 07,2019


View More on KTN Mbiu

Ahakama ya juu imeidhinisha ushindi wa gavana wa Homabay Cyprian Awiti katika uchaguzi mkuu uliopita.  Jaji wa mahakama ya juu zaidi Profesa Jackton Ojwang aliyesoma uamuzi huo amesema kuwa mahakama za chini zilipuuza vipengee muhimu katika kesi hiyo.  Kumekuwa na shangwe na Nderemo kutoka kwa wafuasi wa awiti baada ya uamuzi huo. Mahakama za chini kwa maaana ya mahakama kuu  na ile ya rufaa zilifutilia mbali ushindi wa awito zikisema kuwa kulikuwa na udanganyifu mkubwa. Mshindani wa awiti katikaUchaguzi huo oyugi magwanga alipeleka kesi katika mahakama kuu akipinga ushindi wa Owiti uliotangazwa na tume huru ya uchaguzi mwaka uliopita. Magwanga aligombea ugavana katika tiketi huru naye awiti aligombea katika tiketi

Ya ODM