Aisha Jumwa na Suleiman Dori wamteua Kipchumba Murkomen kama wakili wao
6th February, 2019
Makabiliano ya kisiasa yatarajiwa baada ya wabunge Aisha Jumwa na Suleiman Dori wamteua Kipchumba Murkomen kama wakili wao katika rufaa ya kupinga hatua ya kuwatimua Katika chama cha ODM.