.
5th February, 2019
Huenda mwili wa marehemu Mildred Odira ulitupwa barabarani na kukanyagwa na magari baada ya kifo chake. Haya ni kwa mujibu wa uchunguzi wa upasuaji wa maiti uliobaini kuwa mengi ya majeraha yake yalitokea baada ya kifo chake. Haya yanatokea wakati kakake akidai amepata vitisho kuhusiana na uchunguzi wa kifo chake.