Mkufunzi wa Kenya 7s Paul Murunga amelaumu ukosefu wa wachezaji wazoefu kama chanzo cha matokeo duni

KTN News Feb 05,2019


View More on Sports

Mkufunzi wa timu ya taifa ya raga ya wachezaji 7 kila upande Paul Murunga amelaumu ukosefu wa wachezaji wazoefu kwenye kikosi kuwa chanzo cha matokeo duni kwenye michuano ya msururu wa raga wa Sydney. Kenya ilifungwa mechi zake zote tatu katika michuano hiyo.