Kocha wa Tusker Robert Matano apuuzilia mbali madai ya Mathare ya kunyakua taji la ligi kuu nchini

KTN News Jan 31,2019


View More on Sports

Kocha wa tusker fc Robert Matano amepuuzilia mbali madai ya kuwa mathare united wanapigiwa upatu wa kunyakuwa taji la ligi kuu nchini msimu huu.kwa mujibu wa matano,ligi ingali changa na tusker wamejianda kutoa upinzani mkali hususan baada ya kusajili wachezaji wapya na kuboresha kikosi chao.tusker iko nafasi ya 3 kwenye jedwali na inajianda kucheza dhidi ya Posta Rangers wikendi hii