×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

UASU yaingilia kati mgogoro wa ungozi unaokumba chuo kikuu cha Nairobi huku ukishtumu usimamizi

31st January, 2019

Muungano wa kutetea maslahi ya wahadhiri nchini uasu umeingilia kati mgogoro wa uongozi unaokikumba Chuo kikuu cha Nairobi…na kushutumu halmashauri ya usimamizi wa chuo hicho kwa kuonekana kupinga uteuzi wa maafisa wa ngazi ya juu  uliofanywa na waziri wa elimu amina mohammed…wakati huohuo uteuzi wa Prof. James machoki kuongoza kituo cha mafunzo ya  utabibu unaanza kuzua utata.

.
RELATED VIDEOS