Mahakama Kuu yatoa amri ya kukamatwa kwa Mbuge wa Nandi Alfred Keter baada ya kutofika mahakamani

KTN News Jan 31,2019


View More on KTN Mbiu

Amri ya kukamatwa kwa mbunge wa nandi hill Afred Keter imetolewa na mahakam kuu baada ya kukosa kufika katika Mahkama ya milimani hapa jijini nairobi kwa ajili ya kesi ya Ulaghai inayomkabili. Keter anakabilima na kesi ya kuilaghai serikali kupitia dhmana ya fedha ya serikali ya shilingi milioni 633. Keter anasemekana kuutelekeleza ulaghai huo Maarufu treasy bond fraud. Mnamo Febuari mwaka jana. Keter alishtakiw apamoja na wenzake wa kampuni ua desai industries madat chatur na arthur sakwa kesi yao itatajwa febuari tarehe 14. Wakati hakimu mwandamizi francis andanyi akitoa amri hiyo tayari upande wa mashtaka ulikuwa umejitayarisha na mashahidi 13 na ithibati 16 kwa ajili ya kumshtaki Keter