30th January, 2019
Mbunge wa Mbeere Kusini Geoffrey King'ang'i amewaamuru wanakandarasi sita waliojenga madarasa na vyoo vya shule kubomoa majengo hayo kwa kukiuka kanuni za ujenzi.
Aliitoa amri hiyo alipokuwa kwenye ziara ya kukagua viwango vya ujenzi wa majengo kupitia hazina ya ustawi wa maeneo bunge, CDF.