×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana azindua mradi wa kusambaza maji Uasin Gishu

30th January, 2019

Wakazi wa Kaunti ya Uasin Gishu watapata maji zaidi kwa lita milioni 20 baada ya kuanzishwa kwa mpango wa kutibu maji na serikali ya kaunti. 

Jackson Mandago, gavana wa kaunti, hiyo amesema mradi huo wa kipkaren utasambaza maji maeneo ya Kapseret, Langas na Kipkenyo pamoja na maeneo yaliyo karibu na wadi hizo. 

Mpango huo wa maji utahakikisha kuwa asilimia 85 ya maboma katika kaunti hiyo yana maji safi. 

.
RELATED VIDEOS