Kwa mara nyingine tena Kenya imeshuka alama moja katika jedwali la orodha ya mataifa fisadi zaidi du

KTN News Jan 29,2019


View More on KTN Leo

Kwa mara nyingine tena Kenya imeshuka alama moja katika jedwali la orodha ya mataifa fisadi zaidi duniani katika kipindi cha mwaka 2018 kwa mujibu wa ripoti iliytochapishwa na shirika la transparency international. Ripoti hiyo imeyataja mataifa ya Rwanda na Tanzania yameimarika katika vita dhidi ya ufisadi kuishinda Kenya.