24th January, 2019
Jackline Mwangi wa timu ya kinadada ya mchezo wa magongo ya telkom ameteuliwa kama mchezaji bora wa mwezi disemba .Jackline alikuwa mfungaji bora mwaka 2018 kwenye michuano ya magongo ya bara la Afrika yalioandaliwa jijini abuja nigeria.aidha aliisadia timu ya Telkom kutetea taji la vilabu bingwa baran