Timu ya Kibera Black Stars ina matumania kubadilisha msururu wa matokea duni

KTN News Jan 24,2019


View More on Sports

Timu ya vijana wa Kibera black stars kutoka Kibera jijini Nairobi ina imani kubadilisha msururu wa matokeo duni katika ligi ya kitaifa nchini Kenya.Licha ya kuwa mkiani katika jedwali la ligi hiyo wanalenga kuandikisha ushindi wa alama tatu watakapochuana na Modern coast Rangers wikendi hii