×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

OCS wa kituo cha polisi cha Capital Hill Nairobi alaumiwa kwa kutofanya kazi vyema

24th January, 2019

Kundi moja la wanaharakati sasa linamtaka mkurugenzi wa upelelezi nchini, DCI, George Kinoti, kuanzisha uchunguzi kwa kusudi la kumchukulia hatua ocs wa kituo cha polisi cha

Capitol Hill, kwa madai ya kufanya kazi kwa mapendeleo. Aidha kundi hilo kwa jina, concerned citizens alliance, linashinikiza kukamatwa kwa mwekezaji mmoja wa binafsi

Anayedaiwa kupanga njama ya kuvamia na kuharibu mali ya jirani yake kwa lengo la kunyakuwa ardhi yake. Ila hata baada ya ripoti kupigwa na wahusika kutambuliwa hapana

Mshukiwa yeyote aliyekamatwa na kushtakiwa

.
RELATED VIDEOS