×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo wa uongozi katika muungano wa Waislamu Kisumu

24th January, 2019

Mzozo wa uongozi  umezuka katika muungano wa Waislamu jijini kisumu ambapo makundi mawili yametofautiana kuhusu mipango ya kufanya uchaguzi wa kuwaleta viongozi wapya ofisni. Mwenyekiti aliyepo kwa sasa sheikh musa alphan ameapa kutoruhusu uchaguzi wowote kufanywa licha ya amri ya mahakama kuamuru shughuli hiyo kufanywa. Wakati huohuo baraza la wasilamu nchini, supkem limeelezea kusikitishwa kwake na kukosekana kwa sajili ya wanachama wa muungano huo. Yusuf Ndicho, mmoja wa viongozi kwenye muungano huo aliwaambia wanahabari jana mjini kisumu kwamba ipo miskiti inayowasajili wanachama kinyume cha sheria kwa madhumuni ya kushiriki kwenye uchaguzi huo

.
RELATED VIDEOS