×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Felix Tshisekedi aapishwa kama raisi wa DRC

24th January, 2019

Rais mpya wa jamhuri ya Demokrasia ya Congo Felix Tshisekedi anaapishwa rasmi alasiri hii  katika jiji la Kinshasa. Rais Uhuru Kenyatta amehudhuria utawazo huo akiandamana na kiongozi wa chama chaODM Raila Odinga na Kalonzo Musyoka wa wiper. Uapisho huo unakuja baada ya mahakama ya kikatiba nchini humo kukubaliana na ushindi wa Tshisekedi  licha ya Martin Fayulu kupinga ushindi wake mahakamani. Rais tshisekedi mwenye umri wa miaka hamsini na mitano ni mwanaye aliyekuwa kiongozi mahiri wa upinzani nchini humo, marehemu etienne tshisekedi aliyefariki mwezi wa Februari mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka themanini na minne

.
RELATED VIDEOS