Katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion aeleza furaha yake ya chama hicho kujumuishwa na muungano wa COTU
24th January, 2019
Katibu mkuu wa chama cha KNUT Wilson Sossion ameelezea furaha yake ya knut kujumuishwa ndani ya muungano wa COTU, akisema kwamba ni hatua ambayo muda wake umewadia