×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Atwoli asema ameridhishwa na jinsi ushauri wake unatumiwa kulainisha maswala ya uongozi na utawala

24th January, 2019

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi Francis Atwoli amesema kwamba ameridhishwa na jinsi ushauri wake unatumiwa kulainisha maswala ya uongozi na utawala katika taifa hili. Atwoli alizungumza kwenye shughuli ya  kukijumuisha rasmi chama cha walimu knut ndani ya muungano wa COTU, shughuli iliyofanyika mapema leo katika afisi za COTU

.
RELATED VIDEOS