23rd January, 2019
Kwa mara nyingine katika kipindi kifupi mno mwanafunzi mwengine wa chuo kikuu ameuawa.
Wakati huu ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mount Kenya. Mwanafunzi huyo alidungwa kwa kisu hadi kufa na watu wanaoaminika kuwa majambazi katika mtaa wa mabanda wa kiandutu huko Thika.