Wanaoaminika kuwa magaidi washambulia kituo cha kampuni ya kichina ya ujenzi wa barabara Garissa
21st January, 2019
Wanaoaminika kuwa magaidi washambulia kituo cha kampuni ya kichina ya ujenzi wa barabara Garissa na kuwajeruhi watu wawili jana usiku mwendo wa saa mbili.