Wakulima Naivasha waandama kulalamikia uharibifu wa wanyama pori kwa kuvamia na kuaribu mashamba zao

KTN News Jan 18,2019


View More on Leo Mashinani

Kundi moja la wakulima huko Naivasha limetoa notisi ya siku kumi na nne kwa shirika la huduma za wanyama pori, KWS kushughulikia mgogoro kati yao na wanyama pori eneo hilo, la sivyo wachukue hatua mikononi. Wakulima hao katika kijiji cha mirera wanalalamikia wanyama pori wanaovamia mashamba yao na kuharibu mazao